Ni teknolojia ya kuotesha mazao kwa maji na virutubisho bila kutegemea udongo.
Ni kimea kinachooteshwa kwa kutumia mbegu za shayiri, ili kupata chakula cha mifugo, Ng'ombe, kuku, mbuzi,kondoo, nguruwe.
Ni kilimo kinachohitaji eneo dogo, maji kidogo, hakuna haja ya udongo.
FAIDA
Ni rahisi kufanya kilimo hiki mahali popote. Husaidia kuvuna na kupata mazao mengi kwa muda wa siku 7 pia inapunguza matumizi ya fedha kwa kununua majani, pumba kwa ndege na wanyama.
Haona madhara kwa afya za wanyama na ndege.
ULIMAJI
Kilimo hiki kinahitaji;
1. Banda maalumu la ukubwa wowote.
2. Trei za plastiki au aluminiam zenye matundu (hakikisha zisiwe na material inayozalisha kutu)
3. Virutubisho kama vile Di.Grow (green)
4. Chupa za kunyunyizia maji (sprayer)
5. Mbegu za shayiri au ngano (zisiwe zimeshambuliwa na wadudu)
6. Chombo la kulowka mbegu
7. Kitambaa cheupe
Jaribio nililofanya mwenyewe
mbuzi akila
ng'ombe akila
kondoo akila
Trei
eneo dogo mavuno mengi
CHANGAMKA MKULIMA
Kwa mawasiliano
+255765903379
buberwamujuni@gmail.com
Facebook: FREBU Poultry Farm Page
No comments:
Post a Comment