Total Pageviews

Tuesday, 29 March 2016

Ikiwa wakinamama watatambua umuhimu wa kilimo na ufugaji na kuufanya kuwa ajira

Mama Shujaa Dar  Edna Kiogwe akiwa makini na kazi Huko Ethiopia

Wakina mama Shujaa wakiwa kazini huku wakiongozwa na Mama Shujaa wa Owani Eva Mwageni

Mama Shujaa wakiwa katika Pozi

Mama Shujaa wawakilishi wakiwa wanajiandaa kuhojiwa 

Rais wa Afrika wa Wakulima Wadogo Wadogo wa Chakula

Wawakilishi wa Kimataifa


Wakiwa Ethiopia








Tujikumbushe wale wazalishaji wa chakula wadogo wadogo kutoka Tanzania waliowakilisha Taifa kwenye mikutano ya nje ya nchi huko Ethiopia na Marekani.

Monday, 14 March 2016

Jinsi unavyoweka Uma na Kisu. Je unaelewa maana yake?


Hizi ndizo maana halisi za uwekaji uma na kisu kwenye sahani
1. Napumzika
2. Nahitaji Kuongeza
3. Chakula Kizuri sana
4. Nimemaliza
5. Sijakipenda Chakula

Sasa, ndugu yangu huwa ukienda sehemu unaachaje uma na kisu chako?  

UWAMKITA CHAKULA BORA ZAIDI CHA KUKU WA NYAMA, WA MAYAI NA KIENYEJI












Umoja wa Wafanyabiashara wa Mazao ya Kilimo Tanzania (UWAMKITA) ni Kikundi kilichokutanisha watu wenye taaluma mbalimbali na kuziunganisha kutoa kitu kimoja ili kuwapatia faida wao wenyewe wana kikundi na jamii yote kwa ujumla.  Chakula hiki kinatengenezwa na kusambazwa na UWAMKITA.  Tumia chakula hiki hutajuta na hutakiacha.
Pia wanatafutwa Mawakala ndani ya nchi na nje ya nchi.  Kwa maelekezo zaidi wasiliana kwa namba +255765903379

Ufugaj wa Mbuzi na Ng'ombe






Ushirikiano ni jambo zuri sana hasa kwa Wanakikundi kuamua kwa pamoja kuweza kuwekeza kwa pamoja.

MAYAI YA KIENYEJI


Ndugu Mteja karibu FREBU Poultry Farm uweze kupata mayai bora ya kuku wa Kienyeji ambayo waweza yatumia kwa kutotoleshea vifaranga pia.  Wasiliana nasi kwa simu namba +255765903379